Msanii wa Muzikki wa Kizazi kipya, Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuzidiwa ghafla akiwa studio, mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliyekua akifanya kazi na Msanii huyo amesema Sam alikuwa akiumwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: