Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani George Lugata akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu mkoani Tanga wakati wa futari walioiandaa iliyoandaliwa na Tugo katika shule ya Sekondari Jumuiya mjini Tanga juzi. Kulia ni Shehe wa mkoa wa Tanga, Juma Luwuchu.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani, George Lugata (katikati) akijumuika na waumini wa dini ya kiislamu mkoani Tanga katika futari iloyoandaliwa na Tigo liyofanyika katika Shule ya Sekondari Jumuiya mjini Tanga juzi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: