Hatimaye ahadi ya Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbles Lema ya kuwasaidia akina Mama na Watoto kwa kuwapatia hospitali maalumu kwa ajili yao, lwa sasa imekamilika kupitia ufadhili wa Mawalla Trust na Maternity Africa kwa kuunganishwa na taasisi ya Arusha Development Fund (ArDF).

Hospitali hiyo ipo eneo la Burka Kisongo ambapo itawahudumia wakazi wa Burka na maeneo ya jirani, inatarajiwa kuzinduzi rasmi kesho Juni 9, 2018! Wananchi wote wanakaribidhwa kushuhudia uzinduzi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: