Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti Anwar, Msasani, jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani, jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Waislamu baada ya kushiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani, jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018.
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kushiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani, jijini Dar es salaam leo Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: