Wadau wa Kajunason Blog, Bwana Alex Mbise na Bi. Happyness Mpanda wameamua kuuga ukapera jana Juni 30, 2018 baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la Christian Revival Church of Tanzania, lililopo Seela Meru-Arusha.

Hongereni sana, Tunawatakia maisha mema.
Chereko chereko zikiwa zimetawala.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. Hongera sana kwao ....Mungu awatangulie katika maisha yao mapya

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kwao ....Mungu awatangulie katika maisha yao mapya

    ReplyDelete