Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amefanya ziara ya utatuzi wa Mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Nanjilinji A na Kijiji cha Mirui katika jimbo la Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege ambaye ni Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: