Timu ya Croatia yaichapa timu ya Uingereza na kujipatia tikiti yake ya kuingia katika fainali kombe la dunia la FIFA mwaka 2018

Baada ya kutofanikiwa 1998, Croatia imetua fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza kwenye historia yake.

Croatia itachuana na Ufaransa Jumapili Luzhniki Stadium. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: