Mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola mkazi wa Nzuguni Jijini Dodoma akiwasha gari alilokabidhibiwa Jijini Dodoma baada ya kushinda katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari.
Mshindi wa gari aina ya Renault Kwid kutoka Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola akifungua mlango wa gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi leo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge jijini Dodoma jana, wanaoshuhudia ni maofisa mbalimbali kutoka Vodacom
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: