Dj wa Kimataifa David Omari a.ka DJ D-Ommy (Mr. Washawasha) mapema jana Julai 14, 2018 ameamua kuachana na chama cha  mabachela kutoka Clouds Media Group na kuungana na mke wake mpenzi Agness Brigitta. Ndoa hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali. Hongera sana DJ D-Ommy kwa kuamua, Mungu awasimamie katika ndoa yenu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: