Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (katikati) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa tatu wa gari aina ya Renault Kwid Mkomeni Ernest Mgonho (kulia) katika hafla ya kuwazawadia washindi wa M-Pesa kanda ya kaskazini baada ya kujishindia gari hilo katika bahati nasibu inayoendelea ya ‘Tumia M-Pesa ushinde gari’, kushoto ni mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Bigita Stephen.
Mke na mjukuu wa Bwana Mgomho wakishuhudia akikabidhiwa gari lake aina ya Renault Kwid.
 Kikundi cha ngoma kikisherehesha wakati wa hafla hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: