Bwana Gilbert Karumuna akimvalisha pete Bi. Joyce wakati wakifunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kibwegere na kufuatiwa na hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Doctors Park Garden, Kibamba Dar es Salaam 30 Juni 2018.


Bwana na Bi. Karumuna wakisindikiza kwa vigeregere.
Nderemo na visijo vilitawala katika ukumbi wa Doctors Park Garden, Kibamba Dar es Salaam 30 Juni 2018.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: