Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,walijadiliana mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akijadiliana mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam baada ya Waziri Lugola kurejea kutoka jijini Mbeya.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akipeana mikono na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye(kulia), baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: