Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndugu Mwl. Raymond Mwangwala amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya NDI nchini Bi Sandy Quimbaya ofisi ndogo za UVCCM Upanga jijini Dar es Salaam mapema leo Julai 05, 2018.

Katika mazungumzo yao wamekubaliana kushirikiana katika mafunzo ya kuwajengea uwezo Vijana kiuongozi, kisiasa, matumizi ya teknolojia, ushiriki wa vijana katika kutunza umani na usalama wa nchi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: