Ilikuwa dakika, saa, siku, mwezi na sasa ni miaka 5 tangu Rafiki yetu, Baba Yetu na Babu Yetu Ndugu JOHN S. SHILATU ututoke ghafla mnamo Julai
23, 2013.

Unakumbukwa na Mkeo, wanao, wajukuu, ndugu, jamaa, marafiki zako na ukoo wa Shilatu na Makere ambao kamwe hawatakaa wausahau ucheshi, upendo, na huruma zako kwa kila mtu.

Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi.

JINA LA BWANA LIHIMIDIWE! AMEN!!

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: