Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza katika kikao kilichowakutanisha Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya, baada ya kuwasili jijini hapo kwa ziara ya kikazi.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akisalimiana na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya, Mratibu wa Polisi, Leopard Fungu, baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongozana na Kamanda wa Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi, Fortunatus Musilimu (wakwanza kulia), baada ya kuwasili jijini Mbeya leo kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwele, akimuongoza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, kusalimiana na wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege Songwe, baada ya kuwasili jijini Mbeya, leo kwa ziara ya kikazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAM.BO YA NDANI YA NCHI
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: