Promota wa mpambano wa ngumi Zahoro Maganga katikati akiwainuwa mikono kuwatambulisha mabondia Ramadhani Migwede (kushoto) na Shomari Milundi (kulia) kwa ajili ya mpambano wao wa Agosti 8, 2018 utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Mabondia Ramadhani Migwede (Kushoto) akitunishiana misuli na Shomari Milundi baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Agosti 8, 2018 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Promota wa mpambano huo Zahoro Maganga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: