Jeneza lenye mwili wa mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, ukiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam tayari kwa mazishi.
Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde akiwa na watoto wake wakati wa mazishi ya Mkewe, Sarrah Kibonde kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii tayari kwa mazishi.
Mchungaji akitoa neno katika mazishi hayo.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: