Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JPM amemteua Bw. William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Kwa Mujibu wa taarifa kutoka Ikulu jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa awali rais Dkt. JPM alitengua uteuzi wa Prof. Godius Kahyarara na kusema atapangiwa kazi nyingine.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Erio alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: