Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF ,Professa Godius Kahyarara (pichani kulia) akimkabidhi baadhi ya nyaraka kwa MKurugenzi mkuu mpya wa NSFF Ndugu William Erio kwenye makabidhiano ya ofisi leo makao makuu ya Shirika hilo.
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF ,Professa Godius Kahyarara akizungumza jambo na MKurugenzi mkuu mpya wa NSSF Ndugu William Erio mara baada ya makabidhiano ya ofisi leo makao makuu ya Shirika hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: