Nchini Taiwan kumeanzishwa hoteli maalum ambazo mandhari yake ya wateja kukaa na kulia chakula inafanana karibia kwa kila kitu na mandhari inayopatikana chooni.

Mbali na mandhari, vyombo vinavyotumika kulilia chakula navyo pia vinafanana sana na vile vyombo vinavyopatikana chooni.

Mbunifu na mmiliki wa hoteli hizi zijulikanazo kama Modern Toilet Restaurant ni bwana Dao Ming Zi ambaye kabla ya kuanzisha biashara hii alikuwa akifanya kazi benki.

Kutokana na umaarufu wa hoteli hizi, bwana Dao Ming Zi amelazimika kufungua hoteli nyengine 12 katika maeneo mbalimbali barani Asia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: