Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Morogoro Regina Chonjo mara ulipofika katika eneo la Makabiadhiano la Mpaka kati ya Morogoro na Gairo ambapo mwenge huo umekimbizwa kwa Kilometa 72 katika Wilaya ya Gairo.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akiweka udondo wenye Saruji pembeni ya tofali wakati aliposhiriki ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Wilayani Gairo kama Sehemu ya Miradi iliyotembelewa na Mwenge.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles na Mkuu wa Wilaya ya Gairo Sirile Mchembe wakipiga makofi mara bada ya kuweka jiwe la kwenye Majengo Matano Mapya yanayojengwa katika Hospitali ya Gairo.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akizungumza na Wakazi w Gairo mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Majengo Matano ya Hospitali ya Gairo.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akimshikisha Mwenge Mmoja ya Wazee waliofika Kushuhudia Mwenge ukikimbizwa Wilayanai Gairo
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akikagua moja ya Bidhaa zilizotengezwa kwenye Viwanda Vidogo vya Wajasiliamali wa Wilaya ya Gairo.
 Mkuu wa Polisi Wilaya ya Gairo Akiwa ameshika Mwenge mara baada ya kuupokea kwa mkimbiza Mwenge Msaidizi Issa Mohamed
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akipokea Risala ya Utii kwa Rais kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe mara baada ya kumalizwa kuosomwa na katibu Tawala wa Wilaya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: