Afisa Miliki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa NHC ,Augustino Sanga akiongea na mmoja ya Wateja waliofika katika banda la NHC katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendlea Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa , Aika Benson akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banada la NHC
Afisa Masoko , Wistone Sanga, akitoa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda la shirika hilokwenye viwanja vya Maonyesho Sabasaba.
Banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC Kama linavyoonekana kwa nje katika Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: