Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuingia katika mchezo wa mpira wa miguu wakati wa Bonanza la SHIMIWI lililofanyika Juni 30, 2018 Jijini Dodoma.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuingia katika mchezo wa mpira wa miguu wakati wa Bonanza la SHIMIWI.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuingia katika mchezo wa mpira wa miguu wakati wa Bonanza la SHIMIWI.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Kanali Matamwe Jimmy akiwapongeza wachezaji na washiriki wa michezo ya Bonanza walioshiriki katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Mmoja wa wachezaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Alex Ndimbo akisubiri kupokea pasi ya mpira wakati wa mechi kati yao na Timu kutoka Wizara ya Kilimo wakati wa Bonanza la SHIMIWI lililofanyika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu, Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Nigel Msangi Msangi (waliosimama mwenye koti jeusi) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kumalika kwa Bonanza la SHIMIWI Jijini Dodoma. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: