Padri wa Kanisa la Anglikana, Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Elizabeth Shaba mke wa Profesa James Shaba aliye patwa na mauti Julai Mosi mwaka huu na kuzikwa Julai 7, Chicago, Marekani. Ibada hiyo imefanyika leo kwenye Kanisa la St Albano Angilkana, jijini Dar es Salaam.

Marehemu ambaye alikuwa anaishi na mumewe nchini Marekani mpaka anakutwa na mauti alikuwa Muuguzi Mshauri wa Ubalozi wa Kanada. Alioana na Profesa Shaba mwaka 1963. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki kwenye Ibada hiyo.
Anna Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere, akishiriki katika Ibada hiyo.
Wakiimba wimbo wakati wa ibada.
Wakishiriki kutoa sadaka wakati wa ibada hiyo.
Ndugu wa marehemu Elizabeth Shaba, Grace Shaba akitoa sadaka.
Padri Augustino Ramadhan akiwapatia waumini chakula cha bwan
Wakishiriki kumuombea marehemu Elizabeth Shab
Charles Shaba ambaye ni mmoja wa viongozi wa familia akielezea wasifu wa marehemu Elizabeth Shaba.
Baadhi ya wanafamiia wakiwa katika picha ya pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: