Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam tayari kukutana na kuzungumza na mwenyeji wao Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyewaalika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu na viongozi wastaafu ambao anakutana nao kwa mara ya kwanza wote kwa pamoja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na MAkamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Samwel Malecela.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume.
Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa.
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jogb Ndugai.
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya.
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa.
Spika Msaafu Mhe. Pius Msekwa.
Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Barnabas Samatta.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani.
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman Chande.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Barnabas Samatta.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu wa sasa na Viongozi Wakuu Wastaafu katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 3, 2018. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: