Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri Mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa alipofika nyumbani kwake eneo la Msasani mchana wa leo kushiriki mazishi ya Baba mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akimpokea Rais Mstaafu awamu ya pili Mh.Alhaji Al-Hassan Mwinyi wakati wakiwasili Msasani kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Rais Mstaafu awamu ya nne, Mhe Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aliyeambatana na Mkewe Marry Majaliwa wakati wakiwasili Msasani kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe Jakaya Mrisho Kikwete akiongea machache na Waziri Mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa alipofika nyumbani kwake eneo la Msasani mchana wa leo kushiriki mazishi ya Baba mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Pinda,kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Mawaziri Wakuu wa zamani Mh Edward Lowassa na Mizengo Pinda wakisalimiana msibani.
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mh Bernad Membe akijadiliana jambo na Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu,Ombeni Sefue kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Mama Maria Nyerere akiwa Wasaidizi wake wakiwasili kwenye kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu, jijini Dar
Waziri Mkuu wa Zamani,Mh Edward Lowassa akizungumza jambo na Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Ombeni Sefue kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: