Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe  mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 290,409,580 na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) wakati wa hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom jijini Dar es Salaam jana, katikati ni afisa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada wa kampuni hiyo Furaha Limu.
Mshindi mkuu wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Tusua mapene, Jackson A. Mwankemwa (51) ambaye ni mkazi wa kijiji cha Msasani, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 290,409,580 na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) huku akishuhudiwa na familia yake (wa pili kutoka kulia) ni dada yake Rose Mwankemwa, Togile Sampegete na mtoto wake wa mwisho Erick Jackson wakati wa hafla iliyofanyika makao makuu ya Vodacom Tanzania Plc jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa wa kitengo cha Kidijitali na Huduma za ziada wa kampuni hiyo, Furaha Limu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: