Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (wapili kulia) akimuelezea Ezra Moshi akiwa na familia yake juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G yenye ofa ya GB2 kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure, wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
 Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (kulia) akimuelezea Ezra Moshi juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G yenye ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure, wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, barabara ya Kilwa . Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
 Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliotembelea banda la Vodacom Tanzania lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, (kushoto) wakati akiwafafanulia juu ya ubora wa simu mpya ya Tecno Faya 4G yenye ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure. Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
 Muonekano wa banda la Vodacom Tanzania Plc, katika banda la Vodacom Tanzania Plc, lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Barabara ya Kilwa.ambapo wananchi wanajipatia simu ya Tecno Faya ambayo nimpya kwa shiilingi 195,000.
Meneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania, Happiness Macha, akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kutangaza simu mpya ya Tecno Faya 4G yenye ofa ya GB2 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 Bure, wakati walipotembelea banda la kampuni hiyo lililopo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijijini Dar es Salaam, Simu hiyo inapatikana katika maduka yote ya Vodacom kwa kiasi cha shilingi 195,000.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: