Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania, Abdi Banda, akiwa na mke wake, Zabibu Kiba na kaka yake Ali Kiba mara baada ya kufunga ndoa.
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania, Abdi Banda, akiwa na mke wake, Zabibu Kiba, baada ya kufunga ndoa.

MCHEZAJI wa timu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na aliyewahi kuzichezea Simba SC ya Dar es Salaam na Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti 1, 2018 amefunga ndoa na Zabibu Kiba, ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba kwenye msikiti wa Ahmad al maseeid uliopo Tabata jijini Dar es Salaam.
Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ (kulia), akiwa na Abdi Banda na mke wakeZabibu Kiba.
Alikiba akimpongeza Abdi Banda baada ya kufunga ndoa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: