Mgeni rasmi, Jaji mstaafu, Thomas Mihayo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya GT, Juma Muhimbi (katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Jubril Adeniji (kushoto), mjumbe wa bodi, Dkt. Florence Temu (wa pili kushoto) na Mjumbe wa Bodi, Francis Nanai (kulia) kwa pamoja wakikata keki wakati wa hafla ya utambulisho wa benki hiyo mpya kwa wateja wake, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi zake zilizopo Morocco jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya GT, Juma Muhimbi (kushoto) akigonganisha glasi na Mjumbe wa bodi Francis Nanai wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Jubril Adenij.
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Dkt. Sahabi Gada, akisalimiana na mjumbe wa bodi ya benki hiyo, Dkt. Florence Temu wakati alipowasili ukumbini hapo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Jaji mstaafu Thomas Mihayo,akihutubia wafanyakazi na wateja waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakifurahi kwa pamoja
Viongozi wakipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu
Utambulisho wa baadhi ya viongozi wa benki hiyo
Viongozi wakigonganisha glasi.
Picha ya kumbukumbu
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: