Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akivalishwa mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa CCM White House Dodoma
Meza kuu ikiimba pamoja na Wajumbe wa Baraza kuu
Wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiimba Nyimbo mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa ambae pia ni Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Kikao Cha Baraza kuu ala UVCCM Taifa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akizungumza Kuwakaribissha wajumbe wa kikao cha Baraza kuu Kilicho fanyika jjini Dodoma Leo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James Akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mgeni Rasmi Kufungua kikao Cha Baraza kuu la UVCCM Kilichofanyika JIJINI Dodoma Leo.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akifungua kikao Cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Kilichofanyika Jijini Dodoma Leo.
Q
Wajumbe wa Baraza kuu wakifuatilia Mkutano
Wabunge na wawakilishi wa nao tokana na Umoja wa Vijana
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Bi Tabia Mwita akitoa neno la Shukran Kwa Mgeni rasmi Mara baada ya kikao cha Kufunguliwa na Katibu Mkuu wa CCM
Mbunge wa Nzega Mhe Hussein Bashe akizungumza kwa Niaba ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi katika kikao cha Baraza kuu la Uvccm Taifa.
Naibu waziri wa Kazi Vijana na Ajira na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini akizungumza kwa niaba ya Serikali katika kikao cha Baraza kuu la UVCCM leo jijini dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji UVCCM)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: