Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hasan Abbasi ameungana na mamia ya wanachi wa Dar es Salaam katika Mazishi ya Afisa Habari na mawasiliano na mwanadiplomasia wa Shirika la Nyumba la Taifa Bi Edith Nguruwe yaliyofanyika leo 20.8.2018 katika makaburi ya Kinondoni na kuwapa pole wazazi wa Bi Edith Mzee Nguruwe pamoja na Wanafamilia wengine. Imetolewa na Idara ya Habari Maelezo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: