Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje akishuhudiwa na mkewe Frida Simon (kushoto ) akikabidhiwa funguo za gari na Mkuu wa Kanda ya Pwani Vodacom Tanzania Plc, George Lugata wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.

Mkuu wa Kanda ya Pwani Vodacom Tanzania Plc, George Lugata (kulia) akimkabidhi Kadi na Funguo za gari mshindi wa sita kati ya washindi 10 wa promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje ambaye ni mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam. Hafla hii imefanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Ili kushinda, mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.
Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje ambaye ni mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam, akitoa ushuhuda kwa waandishi wa habari, jinsi alivyojishindia gari, wakati wa hafla ya kumkabidhi gari hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam, Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi, kushoto ni mkuu wa Kanda ya Pwani Vodacom Tanzania Plc, George Lugata na Balozi wa M-Pesa Idris Sultan (kulia)
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu akiongea na waandishi wa Habari pamoja na wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla kumkabidhi Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje. Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.
Mkuu wa Kanda ya Pwani, Vodacom Tanzania Plc, George Lugata, (kushoto) akimkabidhi Abdukarim Mkwava mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya M-Pesa wakati wa hafla ya kumkabidhi gari mshindi wa sita Batholomeo Kanje iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam . Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.
Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Pwani, George Lugata (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1 bwana Samweli Joseph baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya M-Pesa , wakati wa hafla ya kumkabidhi gari aina ya Renault Kwid mshindi wa sita Batholomeo Kanje iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwangota na Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Epimack Mbeteni.
Balozi wa Miaka 10 ya M-Pesa Idrisa Sultan, akiongea na wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge wakati wa hafla ya kumkabidhi mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam, Batholomeo Kanje. Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.
Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje (watatu kushoto) akitoa ushuhuda jinsi alivyoibuka mshindi wa Promosheni ya M-Pesa wakati wa hafla kumkabidhi gari hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es huku akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacquiline Materu ( kushoto) Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Pwani, George Lugata, Balozi wa M-Pesa Idris Sultan, Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwangota na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Epimack Mbeteni. Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: