Na Ripota Zainabu Ally Khamis.

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amempiga Sam Eggington wa uingereza.

Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 amempiga bondia wa uingereza Sam Egginton kwa K.O kwenye round ya 2 kuelekea ya 3, angalia pambano hili hapa katika clips lililofanyika jumamosi ya 8 Septemba 2018 katika ukumbi Arena Birmingham (formerly Barclaycard Arena / NIA), Birmingham, West Midlands, England.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: