Kutona na kuibuka kwa migogoro mingi katika halmashauri nchini Tanzania ka na kutajwa kusababisha na wafugaji na wakulima kufanya shughuli za ufagaji na kilimo mengi na kusababisha mauaji kuibuka katika maeneo yenye migogoro mkuu wa wilaya ya NAMTUMBO BIBI SOPHIA KIZIGO amepiga maraufu kwa wakulima na wafugaji kufanya shughuli katika maeneo yaliotengwa kwa ajili ya hifadhi hususani katika hifadhi ya SELOUS.agizo hilo amelitoa wakati wa kutoa salamu za serikali katika baraza la madiwani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: