Mwandishi wa Habari Ofisi ya Mkuu wa MKOA wa Dar es salaam James Lyatuu akiwa na mkewe mpendwa Devotha John pamoja na wanahabari walioungana nae.

Mwandishi wa Habari Ofisi ya Mkuu wa MKoa wa Dar es salaam James Lyatuu Mwishoni mwa wiki amejiunga katika chama kipya, Mara baada kuuvua ukapera na kufunga pingu za Maisha na Mke wake mpendwa Devotha John wakiwa katika Picha ya pamoja (Picha na Mpiga picha wetu)
Mwandishi wa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam James Lyatuu mwishoni mwa wiki amejiunga katika chama kipya, Mara baada kuuvua ukapera na kufunga pingu za Maisha na Mke wake mpendwa Devotha John wakiwa katika Picha ya pamoja (Picha na Mpiga picha wetu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: