KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo ametembelea na kufanyamazungumzo na watendaji wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa (DDCA)jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa kikao na Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa, Domina Msonge akitoa taarifa fupiya Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa kwa 2017/2018 mara baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo kutembelea ofisi zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa walipotembelewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo jijini Dar es Salaam na kumsomea taarifa ya Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa kwa 2017/2018.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa, Domina Msonge (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutoa taarifa fupi ya Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa kwa 2017/2018 mara baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo kutembelea ofisi zilizopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko, biashara naMahusiano wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Mabwawa, Egwaga Nungu. Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: