Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya leo Septemba 6,2018 akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye anapatiwa matibabu ya mkono wake wa kushoto katika wodi maalum ya Taasisi ya Mifupa MOI jijini Dar es Salaam, alipomtembelea kwa mara nyingine kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, mwaka huu Mkoani Manyara.
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya leo Septemba 6,2018 akisindikizwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye anapatiwa matibabu ya mkono wake wa kushoto katika wodi maalum ya Taasisi ya Mifupa MOI jijini Dar es Salaam, alipoenda kumjulia hali kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, mwaka huu Mkoani Manyara.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: