Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Christina Mndeme Septemba 4, 2018 anatarajia kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi kwa mkoa huko ambapo tukio hilo litafanyika ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: