TAARIFA. 

Mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee LEONARD STEPHEN HAULE yatafanyika siku ya Jumanne, Tarehe 11 September 2018 Nyumbani kwake KIKWALAZA, MIKUMI. 

Tafadhali sana mpe TAARIFA na mwingine, Asanteni sana. 

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana LIHIMIDIWE, Amina.

Imetolewa na Joseph Haule (Mb) Mikumi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: