Wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kustaafu uongozi wao, pichani ni marais wastaafu wa Marekani walioongoza tokea mwaka 1993 - 2017. Kutoka kushoto ni Bill Clinton ambaye aliongoza tokea Januari 20, 1993 – Januari 20, 2001 na George W. Bush (katika) ambaye aliongoza Januari 20, 2001 – Januari 20, 2009 na kufuatiwa na Barack Obama (kwanza kulia) aliyeongoza tokea Januari 20, 2009, to Januari 20, 2017.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: