Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (kushoto) akikabidhi kadi ya gari kwa mkazi wa Tanga Adolf Mlay, huku mkewe Amina Urassa akishuhudia, hafla hiyo ya kusherehekea miaka 10 ya M-Pesa ilifanyika katika viwanja vya Commercial jijini Tanga, ili kushinda Mteja anatakiwa kufanya miamala mingi Zaidi na kutumia M-Pesa ili kujikusanyia points na kuongeza wigo wa kushinda.
 Mshindi wa gari ya tisa ya M-Pesa kutoka Tanga Adolf Mlay (wa pili kushoto) akionyesha kadi ya gari mara baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya kukabidhiwa gari katika viwanja vya Commercial jijini Tanga
 Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (kushoto) akikabidhi tisheti mkazi wa Tanga Adolf Mlay, huku mkewe Amina Urassa akishuhudia.
 Mshindi wa gari ya tisa ya M-Pesa kutoka Tanga Adolf Mlay akiingia katika gari lake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: