Banda la Benki ya NMB likiwa katika eneo lilipo soko la Mitumba la Kiboriloni kwa ajili ya kutoa huduma kwa wateja wa benki hiyo.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika eneo la soko la Mitumba la Kiboriloni kwa ajili ya kujipatia huduma.
Afisa Masoko wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela,Theodosia Manyama akimsikiliza mteja wakati akiandika maelezo wakati wa ufunguaji wa akaunti .
Afisa Masoko wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela,Theodosia Manyama akichukua taswira ya mteja wa Benki hiyo alipofika kwa ajili ya kufungua Akaunti.
Afisa Masoko wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Theodisia Manyama akichukua alama ya kidole mmoja wa wateja waliofika katika banda hilo kwa ajili ya kufungua Akaunti.
Meneja wa Benki ya NMB ,tawi la Nelson Mandela mjini Moshi ,akijaribu kutoa ushawishi kwa dereva wa bodaboda kufungua akaunti ya Chap chap ikiwa ni moja ya huduma inayotolewa na Benki hiyo.
Afisa Masoko wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela ,Martha Malisa akimuelekeza jambo dereva Bodaboda wakati akifungua akaunti ya Cha chap.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: