Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Mkapa Foundation, Deogratius Rimoy, kutambua mchango wa kufanikisha mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21 zilizofanyika kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, kuelekea wiki ya Siku ya Ukimwi Duniani. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda, kutambua mchango wa kufanikisha mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21 zilizofanyika leo asubuhi kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, kuelekea wiki ya Siku ya Ukimwi Duniani.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akiongoza matembezi ya Kilometa tano.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (wa pili kuli) akiongoza mazoezi ya viungo baada ya kumalizika mbio hizo.
Mazoezi yakiendelea.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, (katikati) akiongoza mazoezi.
Mbio za Kilometa 21 zikianza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: