Wabunge wa bunge la Tanzania wakicheza pamoja na msanii Ben Pol(mwenye shati nyeupe) kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma usiku wa kuamkia jana.
Msanii Ben Pol akipongezwa na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika usiku wa kuamkia jana uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Msanii Mimi Mars mdogo wa Vanessa Mdee akifanya yake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta  2017 lililofanyika usiku wa kuamkia jana uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Msanii Vanessa Mdee akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika usiku wa kuamkia jana, uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Darassa akitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Dodoma mapema usiku wa ijumaa.
JUX akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika usiku wa kuamkia jana, uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Msanii mkongwe Alli Kiba akiwapa burudani mashabiki wake waliofurika kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika usiku wa kuamkia jana uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: