Mwanamuziki wa Bongo Fleva na Mshiriki wa Coke Studio Afrika kutoka Lebo ya Wasafi, Rayvan akitoa Burudani  kwa wakazi wa Kibaha katika tamasha la Efm Mziki Mnene mkoa wa Pwani
 Mtangazaji wa kipindi Cha Genge Pido na Mc Wa Efm Mziki Mnene akiwa na Mashabiki wa kipindi hicho katika Tamasha la Mziki Mnene Kibaha  mkoa wa Pwani.
 Msanii wa Bongo Fleva nchini Msami Baby akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.

Msanii Mkongwe wa Muziki wa Hip Pop nchini Squizer akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 Msanii Mkongwe wa Muziki wa Hip Pop nchini Squizer akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 RDJ Mamy kutoka kipindi cha Joto la Asubuhi cha Efm Radio  akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 RDJ X5 akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 Msanii Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva nchini Prince Dully Sykes  akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 Msanii Muziki wa Singeli nchini Majid Migomba  akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 Mashabiki na wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 Msanii  wa Muziki wa Hip Pop nchini Billnas akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
 RDJ Spur  akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
 RDJ Autrun akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
  Mashabiki na wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene  Mkoa Pwani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: