Diwani Kata ya Saranga Haroun Mdoe akila kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Boniface Lihamwile katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo.
Diwani Kata ya Saranga, Haroun Mdoe kwa tiketi ya CCM, akisaini hati ya kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Boniface Lihamwile katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam leo.
Diwani Kata ya Saranga Haroun Mdoe kwa tiketi ya CCM, akipokea Ilani ya CCM kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo John Kayombo ili aweze kwenda kutekeleza ilani ya Chama hicho.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo John Kayombo, akionyesha Ilani ya CCM inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano ya Dk John Pombe Magufuli.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: