Naibu Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Aksoni ameendesha harambee ya kuchangia hospitali ya wilaya ya Namtumbo iliyopo mkoani Ruvuma kwa ajili ya kujenga wodi ya akina mama pamoja na jengo la upasauaji, pia Naibu spika alishiriki mbio za kilometa 5 na kuwa mshindi wa mbio hizo habari kamili hii hapa video yake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: