Aliyekuwa katibu Mkuu wa Mkutano wa Beijing , Getrude Mongela akizungumza wakati wa mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
Mhasisi wa Mkutano wa Wanawake juu ya  Amani na kutatua matatizo Barani Afrika, Dr Basirat  Nahibi akizungumza juu ya suala la wanawake wa bara la Afrika kukutana kujadili na kuanda upatanishi juu ya mgogoro wa kisiasa unaondelea nchini Kenya.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko Kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali akizungumza katika mkutano huo kwa niaba ya Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.
Muuandaaji wa mkutano huo kwa hapa Tanzania , Khadija  akimkabidhi kitabu Aliyekuwa katibu Mkuu wa Mkutano wa Beijing , Getrude Mongela
Mwanahabari Mwanamke mkongwe nchini Radhia Mwawanga akichangoa hoja katika mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
Mjumbe wa mkutano huo Madam Fanta Dissa Berthe akichangia jambo mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mhariri wa jarida la mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika, Fatma Othman Moma akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi Wanawake walioshiriki Baadhi ya Viongozi Wanawake walioshiriki mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam leo wakifatilia mada zinazo endelea kwa Makinimkutano huo  wakifatilia mada zinazo endelea kwa Makini
Baadhi ya Viongozi Wanawake  walioshiriki mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam leo wakifatilia mada zinazo endelea kwa Makinimkutano huo  wakifatilia mada zinazo endelea kwa Makini.
Picha ya Pamoja ya Baadhi ya Viongozi Wanawake  walioshiriki mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam leo wakifatilia mada zinazo endelea kwa Makinimkutano huo  wakifatilia mada zinazo endelea kwa Makini
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: