Wasanii Stamina na Chege wakiwa na mtoa huduma ya mauzo wa duka la Tigo Mtwara, Farida Salum wakiangalia simu zinazouzwa, mara baada ya wasanii wa Tigo Fiesta walipotembelea duka hilo leo.
Wafanyakazi wa duka la Tigo mjini Mtwara wakipiga picha ya pamoja na msanii Janjaroo.
Wateja wakipata huduma leo.
Mashabiki wa muziki wa bongo fleva wakishuhudia wasanii waliotembelea duka la Tigo mtaa wa stand kuu mjini Mtwara.
Wasanii Genevieve na Lulu Diva wakimkabidhi Fulana na Tiketi ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta mjini Mtwara, Ramadhani Kimango.
Wasanii Madee na Mr. Blue wakimkabidhi zawadi fulana na tiketi mteja wa Tigo, Hassan Mussa ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta mjini Mtwara leo.
Msanii Aslay akijiselfisha na wafanyakazi wa duka la Tigo Mtwara.
Mashabiki wa muziki wa bongo fleva wakishuhudia wasanii waliotembelea duka la Tigo mtaa wa stand kuu mjini Mtwara.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: